Home Music Video Rose Mhando – Ndivyo Ulivyo

Rose Mhando – Ndivyo Ulivyo

0

Rose Mhando Ndivyo Ulivyo Mp3 Download
Rose Mhando Ndivyo Ulivyo Mp3 Download

Check out this gospel music by Rose Mhando Ndivyo Ulivyo.

Tanzanian Christian Gospel music singer, Songwriter, Worship leader and music minister, Rose Mhando dropped another interesting brand new gospel music which she titled “Ndivyo Ulivyo”. And it’s right available here for download for your free and fast download!.

Listen And Share Your Thoughts Below!.

STREAM/DOWNLOAD MP3

[ Music Lyrics ]

 

Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo,
Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo,
Nilidhani ‘kama ndoto, kumbe ndivyo ulivyo,
Nilifikiri nachanganyikiwa kwa kusema hivi, kumbe ndivyo ulivyo
Umekuwa mpole, umekuwa mwenye huruma, kumbe ndivyo ulivyo ooh,
Si mwepesi wa hasira, baba ni mwingi wa rehema, ndivyo ulivyo oh,
Wewe unatuwazia mema, kuliko tunavyodhani, ndivyo ulivyo,
Mawazo yako hayafanani na mawazo ya wanadamu, baba ndivyo ulivyo,
Nani kama wewe, mwepesi wa kusamehe, ndivyo ulivyo ooh,
Wema wako hauneneki katikati ya wanadamu Jehova,
Kumbe ndivyo ulivyo; Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo
Ooh ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga.
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Tulia kwa Mungu, hushuka na kutufariji, Baba kumbe ndivyo ulivyo oh,
Usiku na mchana hulali husinzii Mungu uliye hai, ndivyo ulivyo ooh,
Pale tusipoweza kutenda wenyewe kwa mikono yetu Yehova, ndivyo ulivyo ooh,
Huingilia kati ‘yale yote tunayoshindwa wewe ndivyo ulivyo,
Msaada wakati tunapochoka, Yehova Ndivyo ulivyo ooh;
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Mungu uliwakusanya walioachwa, Ukawakumbatia baba ndivyo ulivyo,
Waliokosa tumaini weka tumaini jipya kwao, ndivyo ulivyo ooh,
Waliokata tamaa, wewe unawatia nguvu baba ndivyo ulivyo ooh,
Vile nionavyo mimi si kama utazamavyo baba kumbe ndivyo ulivyo oh,
Huruma zako zimevuka vilindi vya bahari, Mungu we eeh kumbe ndivyo ulivyo,
Hakuna Kupinga;
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga

 


Join our WhatsApp GROUP or TELEGRAM CHANNEL for instant updates

Leave A Reply

Please enter your comment!
Please enter your name here