Home Music Joel A. Lwaga – Usipigane

Joel A. Lwaga – Usipigane

0

Essence Of Worship Shangilia Mp3 Download
Joel A. Lwaga Usipigane Mp3 Download

Check out this lovely brand new gospel music by Joel A. Lwaga Usipigane.

Award winning Tanzanian Christian Gospel music singer and songwriter, Joel A. Lwaga has come through with this amazing brand new gospel music which he titled “Usipigane”. And it’s right available here for download for your free and fast download!.

Listen And Share Your Thoughts Below!.

STREAM/DOWNLOAD MP3

[ Music Lyrics ]

 

Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Acha kutarajia, ishundi
Kwa nguvu zako mwenyewe mmh mmmh
Vita ni ya mungu
Mwache ye atakupigania tu
Acha kuhangaika, na wanadamu
Ili kuongeza jeshi lako eh eh eh
Hao ni wanadamu, ni watu tu
Watakuhunisha tu eh eh eh
Alimwanbia musa waambie Israel
Watulie waone wokovu wangu wangu leo
Maana wamisri hawa wanaowaona leo
Hawatawaona tena eh eh eh
Yesu nae kajiita bwana wa sabato
Sabato maana yake pumziko
Tabasamu katikati ya mapito
Ukimwamini bwana
Usipiganeee
Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Kuna yale
Ya wewe kufanya
Na kuna yale ya mungu kufanya
Usimsaidie
Yale yak wake maana hautaweza
Usitikiswe na uhalisia
Usiyumbishwe na mazingira
Iwe unaona, au huoni
Ye anapigana eh eh eh
Usiogope ile ripoti ya dakitari
Usiogope lile deni la ile benki
Usiogope ile kesi mahakamani
Anakupiganiaa
Usiogope utavaa shela lako
Usiogope udogo wa kanisa lako
Usiogope maneno na fitna zao
Vita ni ya bwana
Usipiganeeeee eeeeeh
Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana

Join our WhatsApp GROUP or TELEGRAM CHANNEL for instant updates

Leave A Reply

Please enter your comment!
Please enter your name here