Home Songs majina yote mazuri ni yako audio lyrics

majina yote mazuri ni yako audio lyrics

0

majina yote mazuri ni yako audio lyricsLYRICS

Majina yote mazuri
ni yako Baba eeh
Unaitwa Jehova Jire,
ninakupenda
Unaitwa Jehova Rafa,
ninakupenda
Unaitwa Jehova Nisi,
bendera ya ushindi wangu
Asante bwana Yesu kwa Upendo wako
Hakuna mwingine kama wewe..eeh
*2…….(Tuendelee)


Join our whatsapp channel or telegram channel for instant updates

Leave A Reply

Please enter your comment!
Please enter your name here