Kick-start your year with a powerful dose of spiritual empowerment! Contemporary Christian music singer, “JAQUE GACHIRI and Anthony Juma“, presents “Mwana Kondoo”, a mighty melody designed to uplift and inspire every believer. As we step into 2025, let’s make a conscious effort to prioritize our spiritual growth.
Fill your heart and mind with uplifting worship songs like this and get ready to take on the year with faith, hope, and determination. Make 2025 your best year yet! Build a strong spiritual foundation with powerful sounds of worship and experience a year of breakthroughs, blessings, and growth.
STREAM HERE ON YOUTUBE CHANNEL
Lyrics
Ninamuona
Mwana kondoo
Neema yake yatuzingira
Upendo wake watufunika
Tulisifu jina lake
Ninamuona
Mwana kondoo
Neema yake yatuzingira
Upendo wake watufunika
Tulisifu jina lake
Ninamuona mwana kondoo
Amejivika
Mwanga kama vazi lake
Ninamuona mwana kondoo
Amejivika
Mwanga kama vazi lake
Ninamuona
Mwana kondoo
Neema yake yatuzingira
Upendo wake watufunika
Tulisifu jina lake
Ninamuona
Mwana kondoo
Neema yake yatuzingira
Upendo wake watufunika
Tulisifu jina lake
Ninamuona mwana kondoo
Amejivika
Mwanga kama vazi lake
Ninamuona mwana kondoo
Amejivika
Mwanga kama vazi lake
Twakuinua
Tunakuita mungu
Twakuinua
Tunakuita mungu