Mr Seed Kwa Hao Mp3 Download
Sensational Kenya gospel singer MR SEED dro an interest single melody titled “KWA HAO”.
However, Kwa Hao is Swahili language which can be translated to as To Thee. Download the new song below after the lyrics.
Mr Seed Kwa Hao Lyrics
Kuna nyakati nilikosanga kitanda
Mmmh nalala kwa kibanda
Baridi ilinimalizanga
Mbu zilinitafunanga
Hata mavazi zilirarukanga
Mmmh navaa matambara
Na pia chakula ilikuwa ni blunder
Mmmh haikupatikana
Lakini Bwana wa mabwana
Hakuna kama Bwana wa mabwana
Lakini Bwana wa mabwana
Alibadilisha vitu ni sambamba
Lakini Bwana wa mabwana
Hakuna kama Bwana wa mabwana
Lakini Bwana wa mabwana
Alibadilisha vitu ni sambamba
Ooh lala, wacheni niimbe
Wacheni niimbe
Ooh lala, wacheni niimbe
Wacheni niimbe amekuwa mwema tu
Ooh lala, wacheni niimbe
Wacheni niimbe
Ooh lala, wacheni niimbe
Wacheni niimbe amekuwa mwema tu.
Join Our Telegram Group Or
WhatsApp Group,
You Can Even Like Our
Facebook Page For Instant Updates.
Nobody Can Accomplish God’s Work Alone!
Paul Planted!
Apollos Watered!
God Gave The Increase!
Let God Use You By Sharing This Post Below: