Miriam Jackson Umenipa Vyote
Miriam Jackson Umenipa Vyote

Miriam Jackson Umenipa Vyote

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 Miriam Jackson amerudi upya kwa kuachia video mpya ya wimbo unaoitwa UMENIPA VYOTE.

“UMENIPA VYOTE ni wimbo ni wimbo wa tafakari juu ya vile YESU alivyojitoa kwa ajili yatu wanadamu Yesu Alitupa Vyote Alitoa maisha yake kwa ajili yetu Alitoa miaka yake yeye akafa ili mimi na wewe tuishi. Yohana 14:14.” – Miriam Jackson

Karibu utazame video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Eimen.

Leave a Reply

Africa's Unlimited Gospel Music Website

All International & African Songs