Lydia Paul USIKATE TAMAA
Habari nyingine Njema kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Lydia Paul ambaye ameachia wimbo wake mpya unaoitwa USIKATE TAMAA.
Kipekee tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu wenye ujumbe utakaokuinua, Amen.